Songtexte.com Drucklogo

BABA YETU Songtext
von Voices Unlimited

BABA YETU Songtext

Baba yetu, yetu uliye
Mbinguni yetu, yetu amina!
Baba yetu yetu uliye
M jina lako e litukuzwe.


Utupe leo chakula chetu
Tunachohitaji, utusamehe
Makosa yetu, hey!
Kama nasi tunavyowasamehe
Waliotukosea usitutie
Katika majaribu, lakini
Utuokoe, na yule, muovu e milele!

Ufalme wako ufike utakalo
Lifanyike duniani kama mbinguni.
(Amina)

Songtext kommentieren

Log dich ein um einen Eintrag zu schreiben.
Schreibe den ersten Kommentar!

Beliebte Songtexte
von Voices Unlimited

Quiz
Wer ist gemeint mit „The King of Pop“?

Fans

»BABA YETU« gefällt bisher niemandem.