Songtexte.com Drucklogo

Mingi Songtext
von Mim Suleiman

Mingi Songtext

Mengi mingi mingi munayosema wenzangu
Mengi mingi mingi munayotaka jamani
Kwangu mimi siyawezi
Hata kwangu siyataki
Vile vile kama ninavyoona
Hivi ni vitendo vya ujana
Musiwadhulumu
Kwani ni haki zao

Songtext kommentieren

Log dich ein um einen Eintrag zu schreiben.
Schreibe den ersten Kommentar!

Quiz
Welcher Song ist nicht von Britney Spears?

Fans

»Mingi« gefällt bisher niemandem.