Songtexte.com Drucklogo

Nina Wimbo Songtext
von Christina Shusho

Nina Wimbo Songtext

Mimi Nina wimbo, wimbo, wimbo
Mimi nina wimbo, wimbo, wimbo
Mwenzenu nina wimbo, wimbo, wimbo

Eheeehhh
Wohooooo, yeeeeh ahhh

Nina wimbo, wimbo, wimbo
Mimi nina wimbo, wimbo wa sifa
Wimbo, wimbo, wimbo
Wimbo wa shukrani
Wimbo, wimbo, wimbo
Yesu wimbo wangu
Wimbo, wimbo, wimbo

Nitamwimbia Bwana kwakua ametukuka sana
Farasi nampanda, farasi amevuka bahari
Mungu kwa rehema zake amewaongoza watu wake akawakomboa
Vizazi vya watu wameskia na wametetemeka


Nina wimbo, wimbo, wimbo
Mimi nina wimbo, wimbo, wimbo
Wimbo wangu ni Yesu
Mimi nina wimbo, wimbo
Mwenzenu nina wimbo
Wimbo, wimbo, wimbo


Eeh Bwana
Katika miungu nani aliye kama wewe
Mtukufu katika utakatifu
Mwenye kuogopwa katika sifa zote
Mfanya maajabu kwa pekee
Jehovah, jehovah
Wewe ndiwe wimbo wangu
Yaweh, yaweh
Wewe ndiwe wimbo wangu
Mwokozi, mwokozi
Mkombozi, mkombozi
Tabibu, tabibu
Wewe wimbo wangu
Mwokozi, mwokozi
Tabibu, tabibu
Wewe wimbo wangu
Rabbi, rabii
Wewe wimbo wangu
Mwalimu, mwalimu
Wewe wimbo wangu

Nina wimbo, wimbo, wimbo
Yesu wimbo wangu
Nina wimbo
Wimbo, wimbo, wimbo
Mimi nina wimbo
Wimbo, wimbo,wimbo
Yesu wimbo wangu
Wenzenu nina wimbo
Wimbo, wimbo, wimbo
Yesu furaha yangu
Nina wimbo
Wimbo, wimbo, wimbo
Jawabu la shida zangu
Nina wimbo, wimbo, wimbo
Ukimwita anajibu
Nina wimbo
Wimbo, wimbo, wimbo
Wimbo wangu
Mwenzenu nina wimbo
Wimbo, wimbo, wimbo

(Nina wimbo
Wimbo, wimbo, wimbo)
Wimbo wa rafiki yangu kipenzi
Yesu rafiki yangu
Mimi nina wimbo
Wimbo, wimbo, wimbo
Mimi nina wimbo
Nina wimbo
Wimbo, wimbo, wimbo
Haleluyah
Mwenzenu nina wimbo
Wimbo, wimbo,wimbo

Songtext kommentieren

Log dich ein um einen Eintrag zu schreiben.
Schreibe den ersten Kommentar!

Beliebte Songtexte
von Christina Shusho

Quiz
Whitney Houston sang „I Will Always Love ...“?

Fans

»Nina Wimbo« gefällt bisher niemandem.