Songtexte.com Drucklogo

Mungu Uhudumiwe Songtext
von Christina Shusho

Mungu Uhudumiwe Songtext

Instrunmental
Eeh bwaana
Umenichunguza na kunijua
Wewe wajua kuketi kwangu
Na kuondoka kwaanguu umelifahamu wazo langu
Tokea mbaali umepepeta kwenda kwangu
Na kulala kwaangu umeelewa na njia zanguu
Zoooteee
Umepepeta kwenda kwangu
Na kulala kwaanguu
Umeelewa na njia zangu zootee
Eeh bwaana
Umenichunguza na kunijua
Wewe wajua kuketi kwangu
Na kuondoka kwaanguu umelifahamu wazo langu
Tokea mbaali umepepeta kwenda kwangu
Na kulala kwaangu umeelewa na njia zanguu
Zoooteee
Umepepeta kwenda kwangu
Na kulala kwaanguu
Umeelewa na njia zangu zootee

Songtext kommentieren

Log dich ein um einen Eintrag zu schreiben.
Schreibe den ersten Kommentar!

Beliebte Songtexte
von Christina Shusho

Fans

»Mungu Uhudumiwe« gefällt bisher niemandem.