Songtexte.com Drucklogo

Mimi ni Mali ya Bwana Songtext
von Christina Shusho

Mimi ni Mali ya Bwana Songtext

Mwimbieni bwana wimbo mpya maana ametenda mambo ya ajabu

Mwimbieni bwana wimbo mpya maana ametenda mambo ya ajabu

Enyi mataifa msifuni bwana
Enyi watu wote muhidini bwana

Mwimbieni bwana wimbo mpya maana ametenda mambo ya ajabu

Mwimbieni bwana wimbo mpya maana ametenda mambo ya ajabu

Mshukuru bwana kwakua ni mwema
Maana fadhili zake ni za milele

Songtext kommentieren

Log dich ein um einen Eintrag zu schreiben.
Schreibe den ersten Kommentar!

Beliebte Songtexte
von Christina Shusho

Quiz
Welcher Song ist nicht von Britney Spears?

Fans

»Mimi ni Mali ya Bwana« gefällt bisher niemandem.