Songtexte.com Drucklogo

M'Barik Fall Songtext
von Khadja Nin

M'Barik Fall Songtext

Kama haumujuwe
Kama hujamuona
Ni yeye M′barik Fall
Amekwenda peke yake
Mutoto akafika ulaya
Njo yeye M'barik fall
Ni sekele ni sekele ya ye


Ukapigana ukawina
Baba yo moko bwana M′barik Fall
Battling Siki
Ukapigana ukawina
Baba yo moko bwana M'barik Fall

Wakaku ita ugombane
Ukamupiga muzungu
Bila dawa M'barik Fall
Ahiyama ahiyele maye o
Ni sekele ni sekele ya ye

Songtext kommentieren

Log dich ein um einen Eintrag zu schreiben.
Schreibe den ersten Kommentar!

Fans

»M'Barik Fall« gefällt bisher niemandem.