Songtexte.com Drucklogo

Kembo Songtext
von Khadja Nin

Kembo Songtext

Unaniaca unaenda tena
Nabaki apa mimi peke yangu
Watoto, watoto wanaliya
Usiende...
Kembo, kembo, kembo...


Watoto wanaliya... wewe
"Napashwa"
Wandugu wanaliya...
Ni wewe
"Napashwa"
Ata mama yako analiya
"Napashwa"
Mimi bibi yako naliya
Usiende na sorrow
Nitangoja... kembo.

"Usiende na sorrow
Tutangoja"

Usiende na sorrow
Tutangoja... kembo.

Watoto wanaliya... hood!
"Unapashwa"
Wandugu wanaliya... hood!
"Unapashwa"
Ata mama yako analiya
"Unapashwa"
Mimi bibi yako naliya
Usiende na sorrow
Nitangoja...
Kembo... kembo... kembo...

Songtext kommentieren

Log dich ein um einen Eintrag zu schreiben.
Schreibe den ersten Kommentar!

Quiz
Wer singt das Lied „Haus am See“?

Fans

»Kembo« gefällt bisher niemandem.