Songtexte.com Drucklogo

Niambie Songtext
von Xenia Manasseh

Niambie Songtext

Niamini, ninataka uwe wangu milele
Kabla upate nishakuwa na mwingine

Niambie (niambie)
Niambie ni mimi
Niambie (niambie)
Niambie ni mimi
Sitaki kujua mwingine
Sitaki kujua mwingine, ewe
Sitaki kujua mwingine
Sitaki kujua mwingine, ewe

Uniambie
Niambie
Niambie ni mimi, ni mimi


Contemplating, my decision
On a mission for more
It′s such a challenge
Got tight rope balance
But it's worth fighting for

Niambie (niambie)
Niambie ni mimi
Niambie (niambie)
Niambie ni mimi
Sitaki kujua mwingine
Sitaki kujua mwingine, ewe
Sitaki kujua mwingine
Sitaki kujua mwingine, ewe

Uniambie
Niambie
Niambie ni mimi, ni mimi

Uniambie
Niambie
Niambie ni mimi, ni mimi

Songtext kommentieren

Log dich ein um einen Eintrag zu schreiben.
Schreibe den ersten Kommentar!

Quiz
Cro nimmt es meistens ...?

Fans

»Niambie« gefällt bisher niemandem.