Wazee Wakatke Songtext
von Them Mushrooms
Wazee Wakatke Songtext
Usiibe, ukiiba (dont steal, if you steal)
We utafungwa buure (you′ll be jailed for no good reason)
Usiuwee, ukiua (don't kill, if you kill)
We utapata dhambi (you′ll be sinful)
Ee
Mmh
Furahia miziki ya wazee (enjoy old men song)
Tukatike, wazee tukatike (lets dance, old men lets dance)
Tukatike, wazee tukatike (ets dance, old men lets dance)
Eh, eh
Kweli ndugu sikilizeni niwaambie (siblings listen I tell you)

Wakati nilipooa bibi moja mrembo (the time i married a beautiful wife)
Na akaleta hasara (and she brought some loss)
Kuvunja vunja vikombe (breaking cups)
Kuvunja vunja visahanii (breaking plates)
Afunge aende kwao (she should leave for her home)
Afunge aende kwaao (she should leave for her home)

Na akaleta hasara (and she brought loses)

Kuvunja vunja visahani (breaking plates)

We utafungwa buure (you'll be jailed for no good reason)

Writer(s): John (desmond) Harrison Lyrics powered by www.musixmatch.com