Songtexte.com Drucklogo

Barbarella Songtext
von The Bongos

Barbarella Songtext

We ndo nyota yangu kama TID, nikikuudhi usinikimbie kama Amini
Natumaini utanielewa zaidi ya yule bekaa, nikikuudhi ntakubembeleza kama barnaba boy
Usininywishe sumu ya mapenzi, usiwe mama mubaya
Mimi sio mgeni wa mapenzi, maumivu nayajua
Sio kisa pombe ilonifanya niropoke x2

Ohh! daima na milele, mi ntakuwa nawe, maisha yangu yote kama marlaw
Ohh! daima na milele, mi ntakuwa nawe, maisha yangu yote ahh

Hutosema bora ukimbie kama linah, usiende kwa mganga kama kasimu oooh!

Ohh natumaini kilio changu umesikiaa oooh natumaini machozi utayafutaaa x2

Isiwe kama yako wapi mapenzii ohhh, ulioniahidi kama yake belaa?


Usinifanye teja mapenzi latifaa, latifaa wenda tu mummy lati wenda tu mummy,

Mi nataka kuwa na wee, kuwa na wewe tu ulonifanya kuwa nawe kuwa na wewe tu,

Embe dodo embe dodo limelala mchangani, kwa huba na mazoea, uwe wangu wa milele

Mapenzi ni kuvumiliana nami mpenzi nitakuvumilia

Embe dodo embe dodo limelala mchangani, kwa huba na mazoea, uwe wangu wa milele

Nitalienzi penzi lako sitokuacha asilani, nitalienzi penzi lako sitokuacha asilani

nitalienzi penzi lako sitokuacha asilani, nitalienzi penzi lako sitokuacha asilani babyyyyy...

Ohh natumaini kilio changu umesikiaa oooh natumaini machozi utayafutaaa x2

ahhhhhh ahhhhh ehhh ahhhh ehhhh
Step in the name of love
groove in the name of love step step step come on bounce step step step with me


senbanks90@gmail.com one n only in town...

Songtext kommentieren

Log dich ein um einen Eintrag zu schreiben.
Schreibe den ersten Kommentar!

Beliebte Songtexte
von The Bongos

Fans

»Barbarella« gefällt bisher niemandem.