Songtexte.com Drucklogo

Fine Without You Songtext
von Steve Combs

Fine Without You Songtext

Oh nananaah
Oh nananaah
Oh nananaah aah

Nasema jambo jambo mama
Habari gani nzuri sana
Ukiniacha ntaumia
Mwenzio nishakuzimia

Nasema jambo jambo mama
Habari gani nzuri sana
Ukiniacha ntaumia
Mwenzio nishakuzimia

Uzuri wako umenifanya
Niwe nawe girl
Niwe nawe kabisa

Tabia ndio imenivuta, niwe karibu
Moyoni niwe na furaha baibe
Na furaha baby


Hakuna ataenitenganisha
Nitenganisha
Niwe nawe mbali ma

Nimungu peke anaweza
Anapenda sote tuwe nafuraha baibe
Nafuraha baibe

Without you, without you
Nothing I can be
Without you, without you
No Steve-RnB

Without you, without you
Nothing I can be
Without you, without you
No Steve-RnB (yeah)

Natamani niwe nawe kila saa
Usiku na mchana hakuna njaa
Uwapo we pembeni
Kweli najivunia girl

Karibu ndani yangu washa taa
Ndani giza nene acha mshuma
Sikia hizi hisia
Karibu ndani naumia yeah


Jambo jambo mama
Habari gani nzuri sana
Ukiniacha nitaumia
Mwenzio nishakuzimia

Nasema jambo jambo mama
Habari gani nzuri sana
Ukiniacha nitaumia
Mwenzio nishakuzimia

Without you, without you
Nothing I can be
Without you, without you
No Steve-RnB

Without you, without you
Nothing I can be
Without you, without you
No Steve-RnB (yeah)

Without you, without you
Without you baibe (nothing I can be)
Nothing I can be (without you, without you)
Without you girl (no Steve-RnB)
Oh-oh (without you, without you)
Without you baibe (nothing I can be)
Nothing I can be (without you, without you)
Without you girl (no Steve-RnB) yeah

Songtext kommentieren

Log dich ein um einen Eintrag zu schreiben.
Schreibe den ersten Kommentar!

Beliebte Songtexte
von Steve Combs

Quiz
In welcher Jury sitzt Dieter Bohlen?

Fans

»Fine Without You« gefällt bisher niemandem.