Songtexte.com Drucklogo

Tulale Fofofo Songtext
von Sauti Sol

Tulale Fofofo Songtext

Look to the sky, I′m way up (Way up)
Way up (Way up)
Time of my life, never get enough, can't get enough

I′m feeling the way that the music be talking (talking to me)
Straight to the body I'm moving no stopping (Can't you see)
One thing on my mind, Turn this song up (All the way up)

Ikibamba sana wapi nduru oye (oye)
Ikibamba sana wapi nduru oye (oye)
Ikibamba sana wapi nduru oye (oye)
Ikibamba sana wapi nduru oye (oye)

Tulewe ndindi, tucheze chini chini
Tuende nyumbani, tulale fofofo
Tulewe ndindi, tucheze chini chini
Tuende nyumbani, tulale fofofo


Look into my eyes girl, what′s up what′s up baby
Love of my La... La.La. life, what's up what′s up sweety
Juu mi ni mtu ya ingho, hapa naleta maringo
Kama, baby uko single
Si mi na wewe tumingle (ayaya)
Juu mi ni mtu ya ingho, hapa naleta maringo
Kama, baby uko single
Si mi na wewe tumingle

Ikibamba sana wapi nduru oye (oye)
Ikibamba sana wapi nduru oye (oye)
Ikibamba sana wapi nduru oye (oye)
Ikibamba sana wapi nduru oye (oye)

Tulewe ndindi, tucheze chini chini
Tuende nyumbani, tulale fofofo
Tulewe ndindi, tucheze chini chini
Tuende nyumbani, tulale fofofo

Kama unanipenda, Kama unanipenda
Oya baby shuka, Shuka chini, shuka
Nakupenda, kama unanipenda
Oya baby shuka, Shuka chini, shuka

Kama unanipenda, Kama unanipenda
Oya baby shuka (Shuka baby), Shuka chini, shuka (Shuka baby)
Nakupenda, kama unanipenda
Oya baby shuka(Shuka), Shuka chini, shuka(Shuka baby)

Ähnliche Songtexte

Songtext kommentieren

Log dich ein um einen Eintrag zu schreiben.
Schreibe den ersten Kommentar!

Beliebte Songtexte
von Sauti Sol

Quiz
Wer besingt den „Summer of '69“?

Fans

»Tulale Fofofo« gefällt bisher niemandem.