Songtexte.com Drucklogo

Wale Wale Songtext
von Okello Max

Wale Wale Songtext

Jamani kuwa na Kiburi ni kibarua
Chama cha kisirani sisi tunawajua
Shindana na Tembo msamba mtapasua
Mbivu mbichi gani? Hii Leo tuta tatuaa

Nawashikia kwa melody
Nawashikia kwa mistari
Tangu enzi za dvd CD nakuanga muhatari
Nawaletwa buradani kali kali
Juu napiga gucci chini nawapigia champali

Original Hello!
Wanauliza maswali eti Ywaya Tajiri yule
Tajiri wa nani? Yoyo yoooh!
Yeah man!
Ezema!
Elema!
Hello, yeah yeah!


Hawataki tutoboe
(Kina nani hao?)
Wanakesha popo waturoge ni
(Kina nani hao?)
Ni wale wale wale
Wale wale wale

Hawataki tutoboe
(Kina nani hao?)
Wanakesha popo waturoge ni
(Kina nani hao?)
Ni wale wale wale
Si ni Wale wale wale

Silokemote,mamama
Nananaa nana,na leleee,na lele, na leleee, na lele
Nale nale nale,naleleee
Sampelapooo na lele

Excuse me mon amor
In kendi e piny ka
E nyimi to gimor
Kendgi togisin ga (ai)
Yawa, Magi mage pokaneno joka ma
Uloke tiju, miso dwe to pod utar


Gimok chuli to ibathorigo nang′o
Apilo mokichamo tolungo dhogi nang'o
Sami locho gikuyoo, Kendo lit negi ndi
Kata yago giluoroo,Kagi chiki mondi podhi
Ai yawaaaa,Kendo lit negi ndi

Giidooo,Gichiki mondi podhi
Eeeh eh eh eh
Heh eh heh eh!
General!
Nale nale nale,na lele

Hawataki tutoboe
(Kina nani hao?)
Wanakesha popo waturoge ni
(Kina nani hao?)
Ni wale wale wale
Wale wale wale

Hawataki tutoboe
(Kina nani hao?)
Wanakesha popo waturoge ni
(Kina nani hao?)
Ni wale wale wale
Si ni Wale wale wale

Tafadhali,hizo kasoro zenu sitaki leo
Kwa nini, hamfurahi kuona maendeleo
Si kupenda kwangu baraka ninazo nyingi
Naelewa wivu mko nayo nyinyi

Mnakesha mkiomba sana nianguke
Vazi langu mbona mwataka tia tope
Pamba nyeupe, pe pe pe!
Watiaji nyie, siniletee
Mtangoja sana, ninyenyeke
Nakunywa chupa nzima nameza pekelee
Taliban!!!

Hawataki tutoboe
(Kina nani hao?)
Wanakesha popo waturoge ni
(Kina nani hao?)
Ni wale wale wale
Wale wale wale

Hawataki tutoboe
(Kina nani hao?)
Wanakesha popo waturoge ni
(Kina nani hao?)
Ni wale wale wale
Si ni Wale wale wale

Eric Mandala Boss
Aah Jose Congo congolo

Hapo vipi? Dole chonjo!
Huko nyuma je? Ah! Dole chonjo!
Huku mbele mkoje? Dole Chonjo!
Madada Wote je? Dole chonjo?
Mabraza meni mkoje? Dole chonjo!

Kila mtu aire je? Dole chonjo!
Wale wale wakija? Dole chonjo!
Aaah!! Dole chonjo!
Kila kitu sawa freshi? Dole chonjo!
Wale wale, Dole chonjo!

Songtext kommentieren

Log dich ein um einen Eintrag zu schreiben.
Schreibe den ersten Kommentar!

Fans

»Wale Wale« gefällt bisher niemandem.