Songtexte.com Drucklogo

Nipe Nafasi Songtext
von Okello Max

Nipe Nafasi Songtext

Aaaaaah
Aaaaaah

Nipeni nafasi, yashakuwa shubiri
Jamani basi, ushachoka wangu moyo
Siamini ulivyo nitenda
Nakupiga redi kadi
We nenda mwana kuenda
Sikudhania utarudia
Nikatarajia utayaacha
Meshafika mwisho wa hii kamba
Na nguvu mi sina

Niling′ang'ania kurudia
Kakupigania kila vita
Sasa nalia sina raha
Mifupa tu hata nyama sina


Aaaaah nipe nafasi ooh
Aaaaah nipe nafasi ooh
Nimechoka mimi,nipe nafasi ooh
Niache-che niende,nipe nafasi ooh
Aaaah ooh,nateseka

Ahadi kwa altari, tukianza safari
Kufa kuzikana
Ukaanza kejeli
We huna dosari, mi ndo wa laana
Pile en fitina okaywe,
Okang′eyo meaning mar kwe
Acha nijitoe mzima, kabla nipimishwe sanda
Kila siku kelele, sijui tena maana ya sherehe
Acha nijitoe mzima, kabla nipimishwe sanda

Niling'ang'ania kurudia
Kakupigania kila vita
Sasa nalia sina raha
Mifupa tu hata nyama sina

Aaaaah nipe nafasi ooh
Aaaaah nipe nafasi ooh
Nimechoka mimi,nipe nafasi ooh
Niache-che niende,nipe nafasi ooh


Gima chako nigi giko mama
Nipe nafasi oooh
Kata kodiaga dhano wuok
Mia thuolo oooh

Nimefika tamati mpenzi nakuachilia
An ti iweya adhi na mema nakutakia

Songtext kommentieren

Log dich ein um einen Eintrag zu schreiben.
Schreibe den ersten Kommentar!

Fans

»Nipe Nafasi« gefällt bisher niemandem.