Songtexte.com Drucklogo

Niko Sawa Songtext
von Nviiri the Storyteller

Niko Sawa Songtext

What a waste?
Ooh Lord, The Storyteller yeah

What a waste
Baby tumejiseti we on the highway
Tukafunga breki, tukaanza bishana
Asking who is Diana? Vipi mnajuana
I swear tumejibetray, baby tumejiseti
′Cause love isn't here right now
I guess we′ll never know (Never know)
Mahali hii story ingeenda

Tulichoanza kuja tumalize
Kinachokwaza baby ziandike
Punguza drama baby zitushike
Washa kishada

I don't wanna argue ka uko sawa mi niko sawa
Ka uko sawa mi niko sawa
Aki zile vitu tulipanga ukanishukisha namba
Najua unamiss hii kitanda, vile visa na visanga
Aki zile vitu tulifanya kabla ubadilishe namba


Bado we husemanga mi ni psycho
Bado mi hupinganga simu yako
Nilideletingi namba yako
Lakini bado naikumbukaga kwa moyo
And I just can't explain
Thoughts of you and me
Keep going up and down in my brain
And you were looking for some love
Didn′t care for fame
I was looking for a good time playing the game yeah
Now you stuck on my name
Moving in together baby it was never the same
Ooh it′s such a shame kila saa tunagombana
Lini tutaelewana yeah

Tulichoanza kuja tumalize
Kinachokwaza baby ziandike
Punguza drama baby zitushike
Washa kishada

I don't wanna argue ka uko sawa mi niko sawa
Ka uko sawa mi niko sawa
Aki zile vitu tulipanga ukanishukisha namba
Najua unamissi hii kitanda, vile visa na visanga
Aki zile vitu tulifanya kabla ubadilishe namba

I don′t wanna argue ka uko sawa mi niko sawa
Ka uko sawa mi niko sawa
Aki zile vitu tulipanga ukanishukisha namba
Najua unamiss hii kitanda, vile visa na visanga
Aki zile vitu tulifanya kabla ubadilishe namba

Songtext kommentieren

Log dich ein um einen Eintrag zu schreiben.
Schreibe den ersten Kommentar!

Fans

»Niko Sawa« gefällt bisher niemandem.