Songtexte.com Drucklogo

Nikilewa Songtext
von Nviiri the Storyteller

Nikilewa Songtext

Bad girl come find me
Sometimes
Not all the time but just sometimes
The Storyteller

Sipendi ukitokanga sherehe mapema
Ukiniwacha solo kwa keja
Spendi ukinitoanga timing
When you′re whining
Bad girl come find me
Mbogi ikicall ni dangerous
Ju me sinanga roho ya kusema no no no
Stay close to your phone
Baby you already know


Kila saa nikilewa, natoanga simu natumia watu pesa
Oh nikilewa, nakupigia simu nakushow nakupenda
Ustake jua nikilewa
Staki jua nikilewa
Ugapuka nimelewa
Ugapuka nimelewa
Kila saa nikilewa (bad girl come find me)
Ugapuka nimelewa (kila saa nikilewa)
Kila saa nikilewa (bad girl come find me)
Ugapuka nimelewa

Kila saa nikistone
Me hukaa mbali na phone
Ju we huniingisha kwa zone
Sad nigga hours, crying in the shower
Nimemiss your cologne, nimemiss ukimoan
I remember your tone, naeza sample kwa song
Watu wakiclout I miss making love
Na nikiwasha tap, nakumbuka hiyo wap
Ulinieka kwa trap, its a wrap
Hii kitu inaslap no cap
Ulinikill madam, na tuliseal deal na dam


Kila saa nikilewa natoanga simu na tumia watu pesa
Oh nikilewa, nakupigia simu nakushow nakupenda
Ustake jua nikilewa
Ustake jua nikilewa
Ugapuka nimelewa, ugapuka nimelewa
Kila saa nikilewa (bad girl come find me)
Ugapuka nimelewa (kila saa nikilewa)
Kila saa nikilewa (bad girl come find me)
Ugapuka nimelewa

Songtext kommentieren

Log dich ein um einen Eintrag zu schreiben.
Schreibe den ersten Kommentar!

Quiz
Welcher Song kommt von Passenger?

Fans

»Nikilewa« gefällt bisher niemandem.