Songtexte.com Drucklogo

Mu Songtext
von Madee

Mu Songtext

Yeeeh zilla in the house... Madee in the house
Yeeeh jinsi game inavochange...


Jinsi game inavochange, uwez fananisha ya sasa na iliyopita,
Jinsi game inavochange, watu hawapendan imegeuka kama vita,
Jinsi gaamee inavochaangee...
Madee yooh...
Ok nmeamka kichwan ninamahangover,
Kuna fala kanizingua kimara stop over
Meen siku iz hulali utadhan nightmare,
Umegombana na masela kitu gan kimetokea.
Ok tulibishana eti mziki hauna maana,
Tena wanavodai watoto wa sasa ndo mnachana.
Yah dats true man vp mbona unashangaa,
Huon tunavoshine utadhan rock star.
Hamna lolote kazi yenu lopolopo tu,
Siku hzi hamlali mnakesha kama popo tu,
Watu wazma wenzako check jinsi wanavowaza,
Mashabiki wameshachoka wanataka mziki wenye swaga,
Hakuna lolote hizo hadithi za kichaga,
Na ntazid kukataa sambusa haikui barger,
Mnanichekeshaga bolingo mnaita ragger,
Hamfanyi lolote labd we hauna ladha

Kila nyimbo kapuni check jinsi wanavobugi,
Wanamataman waache mziki wakacheze bongo movie
Nahisi bongo movie labda watapata
Mavumba, wamesahau kuna vichwa kama ray na kanumba
Nyinyi bado misukule ndo maana mnaimba bure,
Nakinacho niumiza why mmekimbia shule,
Hehe wenzako wale kulee, wa, umeinama chini wanataman warud shule

Songtext kommentieren

Log dich ein um einen Eintrag zu schreiben.
Schreibe den ersten Kommentar!

Beliebte Songtexte
von Madee

Quiz
Wer ist gemeint mit „The King of Pop“?

Fans

»Mu« gefällt bisher niemandem.