Songtexte.com Drucklogo

Wange Songtext
von Mad Ice

Wange Songtext

Ye gwe wange...
Woo njagala gwe okimanye
Nti yegwe wange... kimanye.
Nkwagalanyo mukwano... era.
Sirikulekanze mukabi... owaah
Nakupenda sana
Eh siwezi ishi bila yako wee darlin′
Penzi lako kwangu lathamani
Uwapo mbali moyoni sina amani
Na kila ninapokuona
Furaha tele moyoni
Ingawa wanasema eti hunifai
Mimi sijali nawaona wazushi
Hata wakisema eti hunifai
Mimi sijali masikio nimeziba
Watasema usiku watalala
Watasema mwishioni watachoka
Mimi sibadiliki hey iyeeh.
Woo njagala gwe okimanye
Nti yegwe wange... kimanye.


Nkwagalanyo mukwano... era.
Sirikulekanze mukabi... owaah
Nakupenda sana
Hebu sikia
Wewe ndiye wangu wamilele
Niliye mchaguwa kati ya wale wengi
Nataka tufunge pingu za maisha
Kwa hiyo wote wajue kamwe sikuachi
Ingawa wanasema eti hunifai
Mimi sijali nawaona wazushi
Hata wakisema eti hunifai
Mimi sijali masikio nimeziba
Watasema usiku watalala
Watasema mwishioni watachoka
Mimi sibadiliki hey iyeeh.
Woo njagala gwe okimanye
Nti yegwe wange... kimanye.
Nkwagalanyo mukwano... era.
Sirikulekanze mukabi... owaah
Nakupenda sana
Yegwe wange... yegwe gwenetaga... mubulamu bwange
Njoo kwangu wee... hey eeh hey eeh
Nakaka ujue... nti yegewe wange
Woo njagala gwe okimanye
Nti yegwe wange... kimanye.
Nkwagalanyo mukwano... era.
Sirikulekanze mukabi... owaah
Nakupenda sana
Nakupenda sana wewe
(Nataka ujue... nataka ujue
Kuwa nakupenda sana)

Songtext kommentieren

Log dich ein um einen Eintrag zu schreiben.
Schreibe den ersten Kommentar!

Ähnliche Artists

Fans

»Wange« gefällt bisher niemandem.