Ufukara Sio Kilema Songtext
von Les Wanyika
Ufukara Sio Kilema Songtext
Naamini unaenda Utarudi ooh
Hatakama sio leo wala kesho eeh
Mi ni wako Mama ah
Nawe wangu sheri ih Mama
Mbona hivyo mwenzako mama Waniacha kisa nini ooh bibi eeh
Sio Nia yangu niwe Masikini, Uamuzi wake Mungu eeh Mamaa,
Ufukara ooh Bibi si Kilema sheri...

Writer(s): John Ngereza, Issa Juma, Omar Shabani Lyrics powered by www.musixmatch.com