Songtexte.com Drucklogo

Safari ya Samburu Songtext
von Les Wanyika

Safari ya Samburu Songtext

rafiki yoo yoo yoo
kwaheri uende ufike salama
safari yako kwenda samburu
kuona ndugu jamaa na marafiki ooo
utapofika maralali
nisalimie dokta maina
mwezi decemba nataraji
niombe livu niifike niwaone eee


safari yetu les wanyika
tulipofika maralali
tulifurahi kuwapata
rafiki wema na wenye nia njema...×2

asante sana dokta maina
tena asante ndugu omolo

Songtext kommentieren

Log dich ein um einen Eintrag zu schreiben.
Schreibe den ersten Kommentar!

Beliebte Songtexte
von Les Wanyika

Quiz
Wer singt über den „Highway to Hell“?

Fans

»Safari ya Samburu« gefällt bisher niemandem.