Songtexte.com Drucklogo

Amigo Songtext
von Les Wanyika

Amigo Songtext

Chunga watoto wako

Tabia zako zimeshakuponza
Mke na watoto wamekimbia
Tulikukanya chunga heshima yako
Mke na watoto wako nyumbani
Ndio hazina ya maisha yako... Amigo, Amigo

Wakati tunakupa ushauri weeh
Uliona sisi watu fitina
Twaingilia mambo yako ya ndani
Na kwamba tukuache kama ulivyo
Sababu wewe bingwa wa maisha... Amigo, Amigo

Thamani ya mke ni mavazi
Kula vizuri kulala vizuri
Ndio siri ya kudumisha ndoa
Mtaishi kwa raha amigo

Watoto wako wapeleke shule
Kwa manufaa yao ya baadaye
Elimu ndio zawadi muhimu
Kwa watoto wako, Amigo


Badala yake mambo yote hayo
Kwa mkeo imekuwa ni ndoto
Maisha yake ya kubahatisha
Na kazi unfanya, Amigo

Mke amechoka mwisho kakimbia
Umebaki kulaumu wenzio
Lawama zako hazina msingi
Bembeleza mkeo akurudie!

Amigo, amigo
Wewe nirafiki yetu
Jirekebishe ishi na familia yako

Amigo
Be a resipossible man

Thamani ya mke ni mavazi
Kula vizuri kulala vizuri
Ndio siri ya kudumisha ndoa
Mtaishi kwa raha amigo

Watoto wako wapeleke shule
Kwa manufaa yao ya baadaye
Elimu ndio zawadi muhimu
Kwa watoto wako, Amigo


Badala yake mambo yote hayo
Kwa mkeo imekuwa ni ndoto
Maisha yake ya kubahatisha
Na kazi unafanya, Amigo

Mke amechoka mwisho kakimbia
Umebaki kulaumu mwenzio
Lawama zako hazina msingi
Bembeleza mkeo akurudie!
Haya Amgio

Majirani na rafiki tulishakukanya sana Amigo
Heshimu mke na watoto wako
Heshimu baba na mama nyumbani
Na wakwe zako uwape heshima
Shemeji zako pia waheshimu

Tukawa sisi wabaya kwako
Shauri wetu hauna maana
Tukwache kama ulivyo Amigo
Sababu wewe ni bingwa wa maisha

Mahari umeshalipa Amigo
Mkeo huna habari naye
Na leo yamekufika mambo
Ubingwa wako na mke amekukimbia eeh

Majirani na rafiki tulishakukanya sana Amigo
Heshimu mke na watoto wako
Heshimu baba na mama nyumbani
Na wakwe zako uwape heshima
Shemeji zako pia waheshimu

Tukawa sisi wabaya kwako
Shauri wetu hauna maana
Tukwache kama ulivyo Amigo
Sababu wewe ni bingwa wa maisha

Mahari umeshalipa Amigo
Mkeo huna habari naye
Na leo yamekufika mambo
Ubingwa wako na mke amekukimbia eeh

Majirani na rafiki tulishakukanya sana Amigo
Heshimu mke na watoto wako
Heshimu baba na mama nyumbani
Na wakwe zako uwape heshima
Shemeji zako pia waheshimu

Tukawa sisi wabaya kwako
Shauri wetu hauna maana
Tukwache kama ulivyo Amigo
Sababu wewe ni bingwa wa maisha

Mahari umeshalipa Amigo
Mkeo huna habari naye
Na leo yamekufika mambo
Ubingwa wako na mke amekukimbia eeh
Amigo, I say haya

Twapitaaa

Ooooh Amigo
We mama aaah
Amigo... Amigo
Hayaaaa..., Amigo
Les Wanyika iye leleee

Songtext kommentieren

Log dich ein um einen Eintrag zu schreiben.
Schreibe den ersten Kommentar!

Beliebte Songtexte
von Les Wanyika

Fans

»Amigo« gefällt bisher niemandem.