Songtexte.com Drucklogo

Bangaiza Songtext
von King Kaka

Bangaiza Songtext

Ajab haha yaeh Kaka Sungura (Bangaiza, Bangaiza!)
G-ganji, Sniper, Dice

Nimehustle tangu ngware hadi, jioni ikafika
Kuna wale wamenibamba wengine wamenikasirisha
Sahii ni time ya kubanga wee ee Bangaiza
Banga wee ee Bangaiza
Nimetembea tangu ngware hadi, kiatu ikaisha
Akili nayo imechoka juu, hesabu nimepiga

Hii kusaka pesa daily naskia nikaa nimechoka
Lakini siwezi wacha juu pesa nayo haiwezi tosha
Nataka kutoka hiyo maisha ya daily, ugali na mboga(leo na Toast!)
Kwa madem wote wanajitegemea
Wanang′ara ka ni hepi wanajiekea drink kwa meza (leo na Toast!)
Kwa machali wote wanajua vile kunaenda
Kama ndoa haikua inashika basi divorce na shida
Si unajua siri ni bidii halafu ni kubangaiza

Nimehustle tangu ngware hadi, jioni ikafika
Kuna wale wamenibamba wengine wamenikasirisha
Sahii ni time ya kubanga wee ee Bangaiza
Banga wee ee Bangaiza
Nimetembea tangu ngware hadi, kiatu ikaisha
Akili nayo imechoka juu, hesabu nimepiga
Sahii ni time ya kubanga wee ee Bangaiza
Banga wee ee Bangaiza
Nimehustle tangu ngware hadi, jioni ikafika
Kuna wale wamenibamba wengine wamenikasirisha
Sahii ni time ya kubanga wee ee Bangaiza
Banga wee ee Bangaiza

Kaa wewe ubangaiza kwa bar, wengine mamovie kwa keja
Wengine kwa mpango wa kando, sahizo simu ni mteja
Haitaumiza ukismile, hakuna uchungu kwa furaha
Waiter leta jaza meza ukimaliza pia we kaa hapa
Ulimaliza job saa kumi na bado mdosi anakusumbua
Haujaona vile wee ni mzuri na bado chali yako anakusumbua
Sahii huyu ni nani amemwagiwa pombe?
Anakaa nikama amebatizwa
Leo ni bash yake? silewi sivuti labda kubangaiza!

Nimehustle tangu ngware hadi, jioni ikafika
Kuna wale wamenibamba wengine wamenikasirisha
Sahii ni time ya kubanga wee ee Bangaiza
Banga wee ee Bangaiza
Nimetembea tangu ngware hadi, kiatu ikaisha
Akili nayo imechoka juu, hesabu nimepiga
Sahii ni time ya kubanga wee ee Bangaiza
Banga wee ee Bangaiza
Nimehustle tangu ngware hadi, jioni ikafika
Kuna wale wamenibamba wengine wamenikasirisha
Sahii ni time ya kubanga wee ee Bangaiza
Banga wee ee Bangaiza

Siku hizi, siku hizi, siku hizi nabangaiza tena sana
Siku hizi, siku hizi, siku hizi nina bidii sana sana

Songtext kommentieren

Log dich ein um einen Eintrag zu schreiben.
Schreibe den ersten Kommentar!

Quiz
Wer singt das Lied „Applause“?

Fans

»Bangaiza« gefällt bisher niemandem.