Songtexte.com Drucklogo

Haistahili Kamwe Songtext
von Jemmimah Thiong'o

Haistahili Kamwe Songtext

Haistahili kamwe kunizushia maneno
Kunitilia fitina maana sote binadamu
Bwana Mungu katuumba tena akafurahia
Kapendezwa sana Mungu na kazi ya uumbaji

Mama mbona unizushie maneno maneno mengi
Mbona wanitenda hivyo mimi binadamu mwenzio
Mbona hutaki mwenzio niendelee kabisa
Ukiona naendelea wee unaanza uzushi

Haistahili kamwe kunizushia maneno
Kunitilia fitina maana sote binadamu
Bwana Mungu katuumba tena akafurahia
Kapendezwa sana Mungu na kazi ya uumbaji

Mama mbona waudhika kipawa changu baraka
Omba nawe kwa imani chako nawe utapata
Waganga wadanganywa hata wao waliumbwa
Mungu ndiye mweza yote muombe Naye atakupa


Haistahili kamwe kunizushia maneno
Kunitilia fitina maana sote binadamu
Bwana Mungu katuumba tena akafurahia
Kapendezwa sana Mungu na kazi ya uumbaji

Sauti yangu na vyote nilivyo navyo mwenzangu
Mungu ndiye aliyenipa mbona wee wagadhabika
Usijiumize bure omba nawe utapata
Kisha utafunguliwa tafuta nawe utapata

Haistahili kamwe kunizushia maneno
Kunitilia fitina maana sote binadamu
Bwana Mungu katuumba tena akafurahia
Kapendezwa sana Mungu na kazi ya uumbaji

Haistahili kamwe kunizushia maneno
Kunitilia fitina maana sote binadamu
Bwana Mungu katuumba tena akafurahia
Kapendezwa sana Mungu na kazi ya uumbaji

Haistahili kamwe kunizushia maneno
Kunitilia fitina maana sote binadamu
Bwana Mungu katuumba tena akafurahia
Kapendezwa sana Mungu na kazi ya uumbaji


Haistahili kamwe kunizushia maneno
Kunitilia fitina maana sote binadamu
Bwana Mungu katuumba tena akafurahia
Kapendezwa sana Mungu na kazi ya uumbaji

Haistahili kamwe kunizushia maneno
Kunitilia fitina maana sote binadamu
Bwana Mungu katuumba tena akafurahia
Kapendezwa sana Mungu na kazi ya uumbaji

Songtext kommentieren

Log dich ein um einen Eintrag zu schreiben.
Schreibe den ersten Kommentar!

Beliebte Songtexte
von Jemmimah Thiong'o

Ähnliche Artists

Quiz
Wer singt das Lied „Haus am See“?

Fans

»Haistahili Kamwe« gefällt bisher niemandem.