Songtexte.com Drucklogo

Papaya Family Songtext
von H_art the Band

Papaya Family Songtext

Order!
Court is in session
In the matter of the people Versus the Papaya Family
Mr. Prosecutor please, Proceed!

Mr. Papaya, uko pabaya
What do you expect when you jump out
Of the frying pan straight into the fire
You′re the definition of a hyena, a cheetah dressed in sheep's attire
Na kila uendapo kazi yako ni kusteal kukill na kudevour
Maji ulikatia kwenye metre, ona vile hatupigi shower
Unamezea bibi ya wenyewe mate, huoni hata haya
Mr. Papaya cheats, Mr. Papaya lies
Mr. Papaya eat your food and leave your plate dry
Mr. Papaya sleeps and he never ever try
Mr. Papaya please haya mambo hayafai


Mr. Papaya, uko pabaya
Mr. Papaya, uko pabaya
LaLa LaLa LaLa La Laaaa
LaLa LaLa LaLa La Laaaa
LaLa LaLa LaLa La Laaaa
LaLa LaLa LaLa La Laaaa

Na wewe Mrs. Papaya, pia wewe uko pabaya
Sikio Lako la kufa tumelitibu lakini halisikii dawa
Mucene ndio kipawa
You′re spreading rumors like a wild fire (Like a wild fire)
Kukopakopa huku na kule na hutaki lipa umezoea vibaya (Umezoea vibaya)
You have the audacity to testify in
Church na ulimi wako ni silaha (Laa Laa Laa)
Biblia mkononi nia mbaya imo rohoni unanyemelea vijana
What goes comes around yo, Mrs. Papaya hio inaitwa karma
Wachana na vijana
Mrs. Papaya napenda gombanisha watu kwa plot
Mrs. Papaya hapendi flash akitoka kwa choo
Mrs. Papaya sleeps and she never ever tries
Mrs. Papaya please haya mambo hayafai


Mrs. Papaya, uko pabaya
Mrs. Papaya, uko pabaya
Mr. Papaya na Mrs. Papaya nyote mko pabaya
In fact Toto Papaya
Nyote pamoja nyote mko pabaya
That is the PAPAYA FAMILY

Songtext kommentieren

Log dich ein um einen Eintrag zu schreiben.
Schreibe den ersten Kommentar!

Fans

»Papaya Family« gefällt bisher niemandem.