Mbio Songtext
von H_art the Band
Mbio Songtext
Mmh Yeah Yeah
Yeah Yeah Yeah Yeah
When I′m down stay beside me
May the sun keep on shinning
Ninangoja yako timing
Nakuweka mbele kwenye grinding
Stuck in the middle of the violence
Streets zinawika bado sirens
Mitandao tumejaza nonsense
But most of us are suffering in silence
Pressure iko
Siku hizi tunafuata mitindo
Forgetten how to keep it simple
Oh Jah Jah come save your people
Tumejaza kiburi na maringo
Wengi tumeshikilia ego
Wengine tumebeba mizigo
We never learn how to let go
Wengi tunatafuta mapenzi kwa mapeni
Mwishowe tunatoka bila any
Masaa ndio machache mambo mengi
A race that's never ending
Mbio mbio mbio mbio
Running to a place that we′ve never ever been
Ndio ndio ndio ndio
It's the only way we're gonna see the things that we′ve never seen
Mbio mbio mbio mbio
Running to a place that we′ve never ever been
Ndio ndio ndio ndio
It's the only way we′re gonna see the things that we've never seen
Niseme nisiseme?
Sema
Niseme Nisiseme?
Sema
Si mlevi akisema kitu ya maana ataambiwa ni ulevi?
Na mtoto akijaribu kukosoa mtu mzima si ataambiwa ni utoto?
Yaani
Saa zingine kukuwa na roho nzuri hukuwa ni mbaya
Wengine wakiskia unapata big money ndio wanaanza kukuvutia waya
Wasikudanganye some want to change you coz they envy you
Na kufurahisha mmoja sometimes itabidi ukanyage mwingine
Mi najuaga utamu ya pesa ju nilizoeaga kukosa
So najifunza kujinyima ndio nijikumbuke nikipata
Na wakidhani nitamalizia verse hapo
Mi nawamalizia kwa verse hapa
Wewe unadhani kazi yako ni ngumu?
Hebu jaribu kukuwa stripper kwa maeskimo
Mungu Baba Asante sana
Tuliuliza kiatu for a minute
Sahii Tuko kwa jam tunapiga honi tusichelewe na flight
Yaani maisha ya haraka inaendaga tu hivyo haraka
Hakuna mwenye anataka kusaka
Few days later anasakwa
Hakuna mwenye anataka Kulilia kwa Baiskeli
Na option for sure sio Kufeli
Tumekosa role models kwa hii generation
So tunaroll Gode
Alafu tunaomba GOD ataprovide
Pick a side
Unataka kukuwa influencer ama kukuwa influential
Mbio mbio mbio mbio
Running to a place that we′ve never ever been
Ndio ndio ndio ndio
It's the only way we′re gonna see the things that we've never seen
Mbio mbio mbio mbio
Running to a place that we've never ever been
Ndio ndio ndio ndio
It′s the only way we′re gonna see the things that we've never seen
Oh Oh
Hakuna haja ya haraka
Don′t go so fast
Put yourself first au sio
H_art The Band
Only way we're gonna see the things that we′ve never seen

Writer(s): Kenneth Muya Mukhwana, Mordecai Mwini Kimeu, Wachira Gatama Lyrics powered by www.musixmatch.com