Mada Dada Songtext
von H_art the Band
Mada Dada Songtext
You flow like the water on the Nile
Naona nyota when I look into your eyes
And you look so amazing when you smile
Oh baby you′re my little piece of paradise
Kuna vile umenimada (Daada)
Nahisi kama nimepona (Aaah)
Ni wewe nimekua nikingoja dada dada (Daada)
Oh baby there's no other (Aaah)
Umenimada dada
Murder was the case chini fiti saba
Tutaburn mashada
Together me ′n' you pete na chanda
Nguo haijakubana lakini bado figure inatokea dada (Eh Eh)
Ukichora (ah ah) unanipa mi mahanjam sijiwezi dada
Na please uniamini dada
Sitachukua bila kupewa Idi Amin Dada
Hey you sexy mama
Wacha nikupe good loving leo kesho na jana
Kuna vile umenimada (Daada)
Nahisi kama nimepona (Aaah)
Ni wewe nimekua nikingoja dada dada (Daada)
Oh baby there's no other (Aaah)
Wachana na vijana
Maneno mengi sana hakuna kufanya
Watakubeba wana
Alafu waki (eh eh) watakanyaga
Hivo ndivo wanafanyaga
Mafuta ukikanyaga gari inaendaga
Pump hii track bana
To that slim mama with a nice haga
Kuna vile umenimada (Daada)
Nahisi kama nimepona (Aaah)
Ni wewe nimekua nikingoja dada dada (Daada)
Oh baby there′s no other (Aaah)

Writer(s): Kenneth Muya Mukhwana, Mordecai Mwini Kimeu, Wachira Gatama Lyrics powered by www.musixmatch.com