Songtexte.com Drucklogo

Kipenda Roho Songtext
von H_art the Band

Kipenda Roho Songtext

Kipenda roho roho roho roho
Kipenda roho roho mmmh
Yeah

Kipenda roho mbona umependa roho yangu
(Mbona umependa roho yangu)
Nilikua solo ila sasa we′ ni wangu
(Siamini kwamba wewe wangu)
Changu ni chako na chako changu
(Changu chako na chako changu)
Oh Kipenda roho mbona umependa roho yangu

Vile jua huchomoza na kutua
Malaika unapendeza zaidi ya ua
Moyo umechagua ukachukua
Hawanijua vile unavyonijua
Palipo penzi hapakosi adui
Wakuchekesha nje kumbe ndani ni chui
Palipo wengi wale wabishi
Ulinienzi ukanichagua mimi ooooh


Kipenda roho mbona umependa roho yangu
(Mbona umependa roho yangu)
Nilikua solo ila sasa we' ni wangu
(Siamini kwamba wewe wangu)
Changu ni chako na chako changu
(Changu chako na chako changu)
Oh Kipenda roho mbona umependa roho yangu
Ehhh

Mimi na wewe mimi na we
Mpaka milele milele
Na tuendelee tupendane
Mpaka washangae washangae
Wacha nikupee
Mapenzi ujilambe vidole eeeh
Juu ni mi na wewe
Tuwache mapenzi yatawale ooooh

Kipenda roho mbona umependa roho yangu
(Mbona umependa roho yangu)
Nilikua solo ila sasa we′ ni wangu
(Siamini kwamba wewe wangu)
Changu ni chako na chako changu
(Changu chako na chako changu)
Oh Kipenda roho mbona umependa roho yangu ooooh

Kipenda roho roho
Kipenda roho una roho ya goro
Kipenda roho roho
Kipenda roho we kipenzi cha ngoro

Songtext kommentieren

Log dich ein um einen Eintrag zu schreiben.
Schreibe den ersten Kommentar!

Fans

»Kipenda Roho« gefällt bisher niemandem.