Barua Songtext
von H_art the Band
Barua Songtext
Lalala lala lala
Lalala lala lala
Lalala lala lala
Lalala lala lala
Lalala lala lala
Lalala lala lala
Nilituma barua kwa bebi
Nilituma barua kwa bebi
Lakini ikapotelea njiani
Nilituma barua kwa bebi
Nilituma barua kwa bebi
Lakini ikapotelea njiani
Nilimwambia nampenda
Na vile kila siku mi humwaza
Nikamwambia najikaza hii Nairobi ni lazima uwe mjanja
Na nilimwelezea vile
Nataka bado avumilie
Nitaomoka very soon
Nimpe ulimwengu maybe take her to the moon (Oh mama naah)
Nilituma barua kwa bebi
Nilituma barua kwa bebi
Lakini ikapotelea njiani
Nilituma barua kwa bebi
Nilituma barua kwa bebi
Lakini ikapotelea njiani
Lalala lala lala
Lalala lala lala
Lalala lala lala
Lalala lala lala
Lalala lala lala
Lalala lala lala
(Chief)
Niko Posta nasubiri tena
Ka kuna mwingine basi sema
Baby return to sender
Mbona unabadilisha agenda
Na zimepita miaka kenda
I′m hoping you remember
Hata kama ulienda
Bado natamani kukukemba
Nilituma barua kwa bebi
Nilituma barua kwa bebi
Lakini ikapotelea njiani
Nilituma barua kwa bebi
Nilituma barua kwa bebi
Lakini ikapotelea njiani
Lalala lala lala
Lalala lala lala
Lalala lala lala
Lalala lala lala
Lalala lala lala
Lalala lala lala
Niko kwa chupa ya pili ndio narealize simpendi tu
Mi namjali pia
Amenijamia na mi nimejam pia
Hakuna mwenye ako willing kuongelesha mwingine
Na time imekataa kurudi nyuma
So mbivu na mbichi ndio tuko shambani tunavuna
Ile kitu imefanya hata tukasirikiane hakuna
But amepack vitu zake zote na ametoka kwa nyumba
Amesema hata nisimamishe jua hawezi rudi nyuma
Ameniacha roho yangu empty
Yaani before leo
Mi sikujua yeye ndio anapatiaga Maisha Yangu life
Nilikuwa ready kumfanya wife
Aki ya Mungu ukirudi sitangoja kukufanya wife
Nimepiga bowtie Na wewe dress ya white
Tuna smile side by side
Aki ya Mungu ukirudi
Hata wakislide mi sitareply
Yaani nikiwa na wewe siku zangu hukuwa fupi
Na usiku mi simind hata kidogo zikiwa refu
Yaani tulikuwa na plans kubwa na visionary
Roho yangu nikakupatia yote mpaka ma-artery
Tulikuwa Couple goal moja hatari
Nikubali tu nikupatie raha
Na wewe unipatie wana
With Love
Your sweet Sukari
Lakini ikapotelea njiani
Nilituma barua kwa bebi
Nilituma barua kwa bebi
Lakini ikapotelea njiani
Lalala lala lala
Lalala lala lala
Lalala lala lala
Lalala lala lala
Lalala lala lala
Lalala lala lala
Lalala lala lala
Lalala lala lala
Lalala lala lala
Lalala lala lala
Lalala lala lala
Nilituma barua kwa bebi
Nilituma barua kwa bebi
Lakini ikapotelea njiani
Nilituma barua kwa bebi
Nilituma barua kwa bebi
Lakini ikapotelea njiani
Nilimwambia nampenda
Na vile kila siku mi humwaza
Nikamwambia najikaza hii Nairobi ni lazima uwe mjanja
Na nilimwelezea vile
Nataka bado avumilie
Nitaomoka very soon
Nimpe ulimwengu maybe take her to the moon (Oh mama naah)
Nilituma barua kwa bebi
Nilituma barua kwa bebi
Lakini ikapotelea njiani
Nilituma barua kwa bebi
Nilituma barua kwa bebi
Lakini ikapotelea njiani
Lalala lala lala
Lalala lala lala
Lalala lala lala
Lalala lala lala
Lalala lala lala
Lalala lala lala
(Chief)
Niko Posta nasubiri tena
Ka kuna mwingine basi sema
Baby return to sender
Mbona unabadilisha agenda
Na zimepita miaka kenda
I′m hoping you remember
Hata kama ulienda
Bado natamani kukukemba
Nilituma barua kwa bebi
Nilituma barua kwa bebi
Lakini ikapotelea njiani
Nilituma barua kwa bebi
Nilituma barua kwa bebi
Lakini ikapotelea njiani
Lalala lala lala
Lalala lala lala
Lalala lala lala
Lalala lala lala
Lalala lala lala
Lalala lala lala
Niko kwa chupa ya pili ndio narealize simpendi tu
Mi namjali pia
Amenijamia na mi nimejam pia
Hakuna mwenye ako willing kuongelesha mwingine
Na time imekataa kurudi nyuma
So mbivu na mbichi ndio tuko shambani tunavuna
Ile kitu imefanya hata tukasirikiane hakuna
But amepack vitu zake zote na ametoka kwa nyumba
Amesema hata nisimamishe jua hawezi rudi nyuma
Ameniacha roho yangu empty
Yaani before leo
Mi sikujua yeye ndio anapatiaga Maisha Yangu life
Nilikuwa ready kumfanya wife
Aki ya Mungu ukirudi sitangoja kukufanya wife
Nimepiga bowtie Na wewe dress ya white
Tuna smile side by side
Aki ya Mungu ukirudi
Hata wakislide mi sitareply
Yaani nikiwa na wewe siku zangu hukuwa fupi
Na usiku mi simind hata kidogo zikiwa refu
Yaani tulikuwa na plans kubwa na visionary
Roho yangu nikakupatia yote mpaka ma-artery
Tulikuwa Couple goal moja hatari
Nikubali tu nikupatie raha
Na wewe unipatie wana
With Love
Your sweet Sukari
Lakini ikapotelea njiani
Nilituma barua kwa bebi
Nilituma barua kwa bebi
Lakini ikapotelea njiani
Lalala lala lala
Lalala lala lala
Lalala lala lala
Lalala lala lala
Lalala lala lala
Lalala lala lala
Writer(s): Kenneth Muya Mukhwana, Mordecai Mwini Kimeu, Wachira Gatama Lyrics powered by www.musixmatch.com