Songtexte.com Drucklogo

Nitarejea Songtext
von Diamond Platnumz

Nitarejea Songtext

Vipi mizigo umeshaweka tayari
Sijechelewa nkaachwa na gari
Basi jikaze usilie mpenzi
Mi nitarudi niombee kwa mwenyezi
Zile taabu na njaa msimu mzima mavuno hakuna
Huwa nakosa raha pale mkikosa cha kutafuna
Roho yangu inauma, sema ntafanya nini na pesa sina
nakuonea na huruma, bora niende mjini kusaka
tumaa

Kama watoto wakinililia waambie kesho nitarejea
wadanganye na vibagia, waambie pipi ntawaletea
Kama watoto wakinililia waambie kesho nitarejea
nawe usichoke kuvumilia, na kila siku kuniombea
Wanajua kwamba nafsi na roho vitakuwa na wasiwasi
ukumbuke na moyo utajawa na simanzi
ntakapokuwa nakwenda shambani afu niko peke
yangu honey
ntapokuja kuwa na majirani ntaumia aaah
pale napotoka kisimani ama nipo na kuni kichwani
sina wakunitua nyumbani ntaliaa
maneno yako yananfanya nakosa raha na mawazo
hata mwenzako sijawahi kufika dar huu ndo mwanzo
vile nakwenda na sijui pa kukaaa wala mavazi ooh

we niombee niepushwe na balaa na maradhi ooh

Kama watoto wakinililia waambie kesho nitarejea
wadanganye na vibagia, waambie pipi ntawaletea
Kama watoto wakinililia waambie kesho nitarejea
nawe usichoke kuvumilia na kila siku kuniombea
Unapokwenda kama ukifika salama, utukumbuke na
sisi
usisahau kama mkeo na wana, umetuacha na dhiki
vile usijali ila naomba chunga sana, ogopa na
marafiki
wakikulaghai hata kwa mbegu za mtama, waambie
sidanganyiki
Unapokwenda kama ukifika salama, utukumbuke na
sisi
Kumbuka mkeo na wana nyumbani, umetuacha na
dhiki ooh
vile usijali ila naomba chunga sana, ogopa na
marafiki
wakikulaghai hata kwa mbegu za mtama, waambie
sidanganyiki
ntarejea mama
niombee nirudi salama

ohhh watoto wadanganye
ihh, ohh

Kama watoto wakinililia waambie kesho nitarejea
wadanganye na vibagia, waambie pipi ntawaletea
Kama watoto wakinililia waambie kesho nitarejea
nawe usichoke kuvumilia, na kila siku kuniombea

Songtext kommentieren

Log dich ein um einen Eintrag zu schreiben.
Schreibe den ersten Kommentar!

Beliebte Songtexte
von Diamond Platnumz

Quiz
Wer singt über den „Highway to Hell“?

Fans

»Nitarejea« gefällt bisher niemandem.