Mtasubiri Songtext
von Diamond Platnumz
Mtasubiri Songtext
Eeh nini sasa
Eti amina, dua zimeitikiwa
Ashtuti nije kupa mali yako
Oh fanya hima, mwenzako nimezidiwa
Mahututi nasubiri tiba yako
Na nisipo kuona na raha nakosa
Situlii mpaka unikumbate darling
Oh kiranga chote mi koma, ukianza dear
Shughuri kwisha yangu habari
Eti unanipenda mı (mnmhn) unanitaka pia (mmh)
Unaniamini (mmh) na umeniridhia
Oh unanipenda mimi (mmh) unanitaka pia (mmh)
Unaniamini (mmh) na umeniridhia, mnaosubiri tuachane
Mtasubiri sana, mtasubi (oh mtangoja)
Mtasubiri sana, mtasubi (wanaosubiri tuachane)
Mtasubiri sana, mtasubi (vuteni kiti mkae)
Mtasubiri sana, mtasubi
Oh baby mi mwenzako njiwa wa kufugwa
Oh baby vya chapuchapu vitanifuja
Oh baby mie wa pwani mzawa wa unguja
Oh baby penzi laini sitoi buja
Na moyo nimeshaweka kwako nanga
Wanajisumbua kukesha kwa waganga
Mbona bado na presha zitawashuka na kupanda
Tena deka we shaukwa baby tamba
Eti unanipenda mi (mmh) unanitaka pia (mmh)
Unaniamini (mmh) nakuniridhia (mmh)
Unanipenda mimi (mmh) unanitaka pia (mmh)
Unaniamini (mmh) na umeniridhia
Munasubiri tuachane
Mtasubiri sana, mtasubi (oh mtakesha)
Mtasubiri sana, mtasubi (mtandike jamvi mukae)
Mtasubiri sana mtasubi (mtatungoja sana)
Mtasubiri sana
Wanasema eti umeniroga (nikweli ila inawahusu nini?)
Hunipendi unanichuna (nikweli ila inawahusu nini?)
Eti wanasema wewe ni kicheche (nikweli ila inawahusu nini?)
Utanichezea kesho uniache (nikweli ila inawahusu nini?)
Wasafi

Writer(s): Nasibu Abdul Juma Issaack, Siraju Hamisi Mjege, Zuhura Othman Soud Lyrics powered by www.musixmatch.com