Songtexte.com Drucklogo

Pole Musa Songtext
von Daudi Kabaka

Pole Musa Songtext

Musa nimefumilia sana
Musa nimefumilia sana
kupigwapigwa kama Mimi punda
na sura yangu imehalibikana
na Nguni sako sakila siku Musa taabuu taabuu

kweli MUSA ulipo nioa sura yangu hakuwa na alama hata moja


nilikuwa na afya suri
nilinona kama ngoima ya kihindi

kweli MUSA ulipo nioa sura yangu hakuwa na alama hata moja

nilikuwa na afya suri
nilinona kama ngoima ya kihindi
oye oye tafadhali MUSA
Tafuta bibi atakayewesa kudu mil is
hiso Tabia sako

Songtext kommentieren

Log dich ein um einen Eintrag zu schreiben.
Schreibe den ersten Kommentar!

Quiz
Wer will in seinem Song aufgeweckt werden?

Fans

»Pole Musa« gefällt bisher niemandem.