Msichana Wa Elimu Songtext
von Daudi Kabaka
Msichana Wa Elimu Songtext
msichana wa sura nzuri
kitu gani kinakufanya usiolewe
elimu unayo ya kutosha
hata ng′ambo ukaenda ukarudi
...
msichana wa urembo kama wewe
uonyeshe mapenzi kwa vijana
ukionesha majivuno kwa vijana
utazeeka ukiwa nyumbani kwenu
ooh baby
miaka yaenda mbio sana
na sura yako ikichuchuka
ooh baby
miaka yaenda mbio sana
na sura yako ikichuchuka
pengine tabia zako ndizo mbaya
awali kweli dada ulijivuna
kwanza mimi nilitaka nikuoe
ukaringa ati sina masomo
ooh baby
ona watoto wa nyumba yako
wameolewa wamekuacha ukihangaika
ooh baby
ona watoto wa nyumba yako wameolewa wamekuacha ukihangaika
msichana wa sura nzuri
kitu gani kinakufanya usiolewe
elimu unayo ya kutosha
hata ng'ambo ukaenda ukarudi
kitu gani kinakufanya usiolewe
elimu unayo ya kutosha
hata ng′ambo ukaenda ukarudi
...
msichana wa urembo kama wewe
uonyeshe mapenzi kwa vijana
ukionesha majivuno kwa vijana
utazeeka ukiwa nyumbani kwenu
ooh baby
miaka yaenda mbio sana
na sura yako ikichuchuka
ooh baby
miaka yaenda mbio sana
na sura yako ikichuchuka
pengine tabia zako ndizo mbaya
awali kweli dada ulijivuna
kwanza mimi nilitaka nikuoe
ukaringa ati sina masomo
ooh baby
ona watoto wa nyumba yako
wameolewa wamekuacha ukihangaika
ooh baby
ona watoto wa nyumba yako wameolewa wamekuacha ukihangaika
msichana wa sura nzuri
kitu gani kinakufanya usiolewe
elimu unayo ya kutosha
hata ng'ambo ukaenda ukarudi
Writer(s): Daudi Kabaka Lyrics powered by www.musixmatch.com