Songtexte.com Drucklogo

Baba yetu Songtext

Baba yetu, yetu uliye (Our, our Father who are)
Mbinguni yetu, yetu, amina (In heaven, our, our, amen)
Baba yetu, yetu, uliye (Our, our Father, who are)
Jina lako litukuzwe (Let's glorify your name)

Utupe leo chakula chetu (Give us today our food)
Tunachohitaji utusamehe (We need you to forgive us)
Makosa yetu, hey (Our errors, hey)
Kama nasi tunavyowasamehe (As we do forgive those)
Waliotukosea, usitutie (Who did us wrong, don't put us)
Katika majaribu, lakini (Into trials, but)
Utuokoe, na yule, milele na milele (Save us, with him, for ever and ever)

Baba yetu, yetu uliye (Our, our Father who are)
Mbinguni yetu, yetu, amina (In heaven, our, our, amen)
Baba yetu, yetu, uliye (Our, our Father, who are)
Jina lako litukuzwe (Let's glorify your name)

Baba yetu, yetu uliye (Our, our Father who are)
Mbinguni yetu, yetu, amina (In heaven, our, our, amen)
Baba yetu, yetu, uliye (Our, our Father, who are)
Jina lako litukuzwe (Let's glorify your name)

Ufalme wako ufike utakalo (Your kingdom come that it be)
Lifanyike duniani kama mbinguni, amina (done on earth as in heaven, amen)

Baba yetu, yetu uliye (Our, our Father who are)
Mbinguni yetu, yetu, amina (In heaven, our, our, amen)
Baba yetu, yetu, uliye (Our, our Father, who are)
Jina lako litukuzwe (Let's glorify your name)

Baba yetu, yetu uliye (Our, our Father who are)
Mbinguni yetu, yetu, amina (In heaven, our, our, amen)
Baba yetu, yetu, uliye (Our, our Father, who are)
Jina lako litukuzwe (Let's glorify your name)

Utupe leo chakula chetu (Give us today our food)
Tunachohitaji utusamehe (We need you to forgive us)
Makosa yetu, hey (Our errors, hey)
Kama nasi tunavyowasamehe (As we do forgive those)
Waliotukosea, usitutie (Who did us wrong, don't put us)
Katika majaribu, lakini (Into trials, but)
Utuokoe na yule msiba milele (Save us from this distress for ever)

Baba yetu, yetu, uliye (Our, our Father, who are)
Jina lako litukuzwe (Let's glorify your name)

Baba yetu, yetu, uliye (Our, our Father, who are)
Jina lako litukuzwe (Let's glorify your name)

Songtext kommentieren

Log dich ein um einen Eintrag zu schreiben.
Schreibe den ersten Kommentar!

Quiz
Welcher Song ist nicht von Britney Spears?

Fans

»Baba yetu« gefällt bisher niemandem.