Songtexte.com Drucklogo

Mungu halali Songtext
von Blinky Bill

Mungu halali Songtext

Nimepitia majanga makubwa lakini Mungu Halali oh
Ningepotea nisipatikane lakini Mungu Halali oh
Nasema kweli
Oooooh ooh
Mungu Halali oh
Oooooh ooh
Mungu Halali oh


Si lazima unikumbushe kuwa Mimi Mwenye dhambi
Najua Tena sana oh
Najijua Tena sana oh Oooooh
Si lazima useme kuwa mnyonge Hana haki
Naona Kila siku oh
Tunaona Kila siku oh Oooooh
Kwa neema na simama
Ila mwamba Ni salama
Binadamu hanitishi
Mimi natembea kwa imani eh
Kwa neema na simama
Ila mwamba Ni salama
Binadamu hanitishi
Mimi Natembea kwa imani

Nimepitia majanga majubwa lakini Mungu Halali oh
Ningepotea nisipatikane lakini Mungu Halali oh
Nasema kweli Oooooh oo
Mungu Halali oh
Oooooh o oh
Mungu Halali oh
Ashajionyesha, Anajionyesha, Atajionyesha Oh uuu
Ashajionyesha, Atajionyesha Oh uu


Hanging in the hustle of life as I
Become Something much more than I could try
Tried in the shadow of death oh I
Arose And I have lived beyond my path
Though you beat me down
(I won′t stay down)
Though you kick me down
(I won't stay down)
Though you beat me down
(I won′t stay down)
Though you kick me down
(I won't stay down)

Nimepitia majanga majubwa lakini Mungu Halali oh
Ningepotea nisipatikane lakini Mungu Halali oh
Nasema kweli
Oooooh ooh
Mungu Halali oh
Oooooh ooh
Mungu Halali oh
Ashajionyesha, Anajionyesha, Atajionyesha oh uuu
Ashajionyesha
Atajionyesha oh uuu

Songtext kommentieren

Log dich ein um einen Eintrag zu schreiben.
Schreibe den ersten Kommentar!

Beliebte Songtexte
von Blinky Bill

Quiz
Wer singt das Lied „Haus am See“?

Fans

»Mungu halali« gefällt bisher niemandem.