Natamani Songtext
von Ambassadors of Christ Choir
Natamani Songtext
Natamani kufika kwenye ile nchi nzuri
Tuloahidiwa naye mungu wetu .
imejaa mazuri
zaidi ya tuyaonayo watakao ingia ni wale walioshinda.
jua wala mwezi haitaangaza
yesu ndiye ataangaza milele
tutakaa naye muumbaji wetu
tumuone mfalme tuzungumze naye
Tuloahidiwa naye mungu wetu .
imejaa mazuri
zaidi ya tuyaonayo watakao ingia ni wale walioshinda.
jua wala mwezi haitaangaza
yesu ndiye ataangaza milele
tutakaa naye muumbaji wetu
tumuone mfalme tuzungumze naye
Writer(s): Ambassadors Of Christ Choir Lyrics powered by www.musixmatch.com