Reality to Fall Songtext
von Illdisposed
Reality to Fall Songtext
kutwa kidomo wazi nikifuta na machozi, huku
namuomba mola unitoke moyon
ila ndo siwezi nakesha ka mlinz maana ata nkilala unanijia ndoton(labda)
asante kwa kuniumizaa nimejifunza mengii mwanzo sikuyajua (labda)
naapa kutolipizaa ila mwambie mapenzii abaki kuyasikiaa (eehee)
nakumbuka maneno yakoo hutonikimbiaa utabaki na mimii tena ukala na viapo taurati bibliaa leo sikuon ila mwenzako badooo
(bado×3)
mwambie bado (bado, bado) sijaponaa (sijaponaa ooh

Writer(s): Jakob Nordahl Hansen Lyrics powered by www.musixmatch.com